À proposConditionsConfidentialitéContact
 
Actualisation
Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Date de sortie : 2025-10-24
© All rights reserved
Radio Maria Tanzania - QR Code
291 épisodes
Audio
Écouter sur Apple Podcasts
291 épisodes
Audio
Écouter sur Apple Podcasts
Date de sortie : 2025-10-24
© All rights reserved
L’épisode le plus récent
Maswali ya Imani

Maswali ya Imani

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na
Durée : 28:06
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa?
L'articolo Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa? proviene da Radio Maria.
Id. d’épisode : 1000733326299
GUID : https://www.radiomaria.co.tz/?p=24862
Date de publication : 24/10/2025 à 16:24:06

Description

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

Apple Podcasts : Avis des utilisateurs

Pas d'entrée